Friday, August 19, 2011

LOVE IS EVERY THINGS IN YOUR HEARTY

Mapenzi ni Hatari kama unaempenda akikuumiza.




 Unaweza kumkabithi moyo wako yule umpendae kwa dhati tena akikuonyesha kua anakujali


 hutasita kumtakimkia mpenzi wako kila siku tena kwa msisitizo wa zawadi ambatanishi
 Upendo wa dhati huifadhiwa moyoni
Kwani hata wanyama na ndege wangekua wanatumika kupeleka ujumbe nami ningemtuma kunifikishia ujumbe kwa yule mpendae.

No comments:

Post a Comment