USALITI WA PENZI.
Siku moja kulikua na Wavulana wawili ambao ni marafiki sana kupita kiasi na Marafiki hawa walikua ni zaidi ya MARAFIKI kwani ni mithili ya NDUGU kwani wanaaminiana kwa kila jambo, Sasa siku moja kati ya story zao walizokua wakizungumza ni pamoja na Kuongea na wapenzi wao kupitia sim kwenye majira ya usiku mmoja kati ya hawa marafiki alianza kuongea na mpenzi wake kwakua siku chache zilizopita walikua hawana maelewano kidogo sasabasi kipindi wanaongea ndipo jamaa huyu alipo hitaji rafiki yake nae amsalimie shemeji yake kwani walikua hawafahamiani na yule shemeji yake ndo kwa mara ya kwanza anamsalimia na kufahamishana vizuri sasa kilichoendelea baada ya kufahamishana ndipo waliendelea na stori nyingine huku wakileteana mzaa ama masihara huku jamaa anasikia tena wakiwa wameweka laudi spika. Baadae ndipo yule msichana anaeongea nae jamaa wa pili ama rafiki wa yule binti{shemeji} msichana alionekana kubadilisha mawazo taratibu na kuhamia kwa shemeji yake bila kutongozwa wala kuambiwa neno NAKUPENDA huku bwana yake akimsikia. Siku ile ikapita akawa hapati kani hewani kama siku mbili hivi ndipo wale marafiki walipoanza kujiuliza inakuwaje yule msichana kumtaka shemeji yake na kumwacha bwana yake isitoshe yeye na shemeji yake huyo aliyetambulishwa hawajuani wala hawajawahi kuonana?. Maswali yaliwaandama bila majibu. Baada ya siku hizo kupita akapatikana tena hewani wale malafiki wakapanga kumjalibu yule msichana kwa kutaka jamaa ambaye ndiye shemeji ampigie yule bint kwa namba yake na wala si ya bwana yake kisha ajifanye kama hayupo nae na aongee nae yeye ili kuona je juzi yake alikosea ama alikusudia kufanya hivyo ndipo alipo mpigia sim huku ikiwa laudi spika pia na msichana akapokea akafahamishwa kua SHEMEJI yako hapa na alimkumbuka na kuanza kuongea nae lakini katika maongezi hayo msichana alionekata kuwa alichokifanya juzi yake usiku alikikusudia haswa wala hakukosea wala kupotea njia alionyesha mkazo wake kua ameshamsahau mpenzi wake na kuanzisha mapenzi mapya kwa shemejiye na kua mpenzi wake badala ya shemeji yake. Jamaa ambaye alikua mpenzi wake aliumia sana lakini alitumia maamuzi ya kiume kuachana nae bila kugombana nae na ambaye alikua mpenzi wake mpya awali alikua shemeji na yeye akaamua kumtosa kwani alijua sio vizuri kua nae atamuumiza rafiki yake pia kwa kujihami na yeye yasije yakamtokea pindi atakavyokua nae. KWELI MAPENZI YANATESA MOYO.
KUMTULIZA MKE/MME WAKO MTIMIZE MALENGO YENU.
ReplyDeleteASALAAM WAALAYKUM/ HABARI ZENU NYOTE
LEO natoa somo Kwa ufupi sana kuhusu mahusiano,
Kila mtu ana haki ya kupendwa pia kupenda kulingana na mzunguko na harakati za maisha watu wengi wamejikuta aidha kwa wanaume na wanawake wote Kwa ujumla kudharauliwa, kuteswa, kunyimwa unyumba, kupuuzwa na hata kuchepukwa na wake au wachumba zao bila hata hofu yoyote hii ikipelekea familia nyingi au ndoa nyingi kuvunjika na nyingine kuishi bila amani na raha.
Mwanamke/mwanaume au Binti au kijana unaesoma huu ujumbe husikubali mtu ambaye unamalengo naye kumpoteza hivi na wakati Kwa mwanaume tunatafuta Ili familia zetu zifurahi na mwanamke unaishi Ili kulitunza nyumba au watoto wako.
Kimekuwa na watoto wengi mitaani kisa wababa kukimbia familia na wamama sikuhizi kukimbia mpaka watoto kwanini usumbuke Dokta Mdiro nakuletea dawa ya KUMTULIZA mme/MKE/mchumba/ au umpendae dawa hii ni tofauti na Limbwata na Haina madhara katika Afya ya akili wana mizunguko ya kilasiku Kwa mhusika
Dawa hii ya ZIKA HABA Itamfanya umpendae
AKUPENDE
AKUSIMILIZE
AKUHESHIMU
ASICHEPUKE
KUKUFANYA KUWA WA KWANZA KWAKE
Muweze kupanfa mambo yenu na kutimiza mambo yenu ya kimaisha
Siku zote kumbuka DOKTA MDIRO anatoa huduma kama kusafisha nyota, kusuluhisha migororo ya ndoa, mahusiano, mapenzi na familia, kumfunga mume au mke asitoke nje ya ndoa, anatoa tiba kwa wanaotafuta watoto Mali na Ndagu.
Vilevile anatoa huduma ya kukusaidia kupata kazi au ajira, kupandishwa cheo na mshahara kazini, kuwasaidia wenye urahibu wa dawa za kulevya, sigara na pombe, kwa wanaotafuta mume au mke pia anawasaidia tena ndani ya siku chache.
Anatibu magonjwa kama kisukari, msukumo wa damu (BP), upungufu wa nguvu za kiume, miguu kuwaka moto n.k, pia anaweza kuisadia biashara yako kunawiri, na huduma zote hizi unaweza kuzipata bila kufika ofisini kwake.
Basi chukua hatua ya kuwasiliana na DOKTA MDIRO
CALL/WHATSUP
+255 742162843
🌹 Ushuhuda Wangu Kuhusu Dkt. Dawn – Mtu Aliyerejesha Nyumba Yangu na Furaha Yangu
ReplyDeleteNataka kushiriki ushuhuda wangu wa dhati kuhusu jinsi Dkt. Dawn alivyobadilisha maisha yangu kabisa.
Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na alikuwa ameenda kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.
Mwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwangu — na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.
Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ni tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.
Lakini si hayo tu — Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyokuwa ikizunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.
Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote — huzuni, bahati mbaya, au mkanganyiko — usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.
Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159
Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com