Friday, August 19, 2011

TAMU YA PENZI

HUBA YA DHATI
Mapenzi ni kama ASALI kama yakikuendea sawa ila huwa ni kama mithili ya SHUBILI ikikuchahia.

Mapenzi huwa matamu endapo wawili wote mkipendana toka moyoni na pia mapenzi pale yanapoanza huwa matamu sana tena yenye raha isiyo ya kifani na kila mmojawapo hujiisi kama kazaliwa upya kwani mapenzi ama upendo hutokea moyoni na wala si mdomoni. Ndani ya Upendo wa dhati huongozwa na penzi zito pale mkutanapo kitandani kila mmoja wapo kumpatia mwenzie kila aina ya Raha na kusahau shida zote walizo kwenye mfumo mzima wa kimaisha waliyo nayo wote wawili.

No comments:

Post a Comment